Quantcast
Channel: musée – Archives de la recherche & Phonothèque
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16

Kuhuisha nyaraka za sauti Tanzania

$
0
0
Tanzania, tangu mwaka 2011, mradi ulianzishwa unaotazama kumbukumbu ya kihistoria ya Tanzania kuhusiana na Urithi wa Ukombozi wa Mwafrika. Tasisi husika za umma Tanzania zinajitahidi kulinda na kuhifadhi urithi huo kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho kupitia ufadhili wa UNESCO pamoja na Jumuiya ya Ulaya. Kuna umuhimu mkubwa wa kuruhusu kumbukumbu za uhai wa Nyaraka za Sauti kusikika kupitia nchi husika. Warsha ya kwanza ilifanyika mwaka 2014, TBC, Dar es Salaam. Baada ya miaka mitatu, kabla ya mradi kuisha, warsha nyingine ilifanyika … Continuer la lecture de Kuhuisha nyaraka za sauti Tanzania

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16

Trending Articles